Live

ATAPE KARATU NET EVENT 2022-UKWELI UNAOKUWEKA HURU

Karibu Kutazama Mahubri ya Ukweli Unaokuweka Huru yanayorushwa mubashara kutoka hapa Karatu

Leo tena Mungu ana Ujumbe kwa ajili yako Karibu Tubarikiwe pamoja na Mfululizo wa Mikutano hii ya Ukweli unaokuweka Huru na Mchungaji Daudi Makoye ana ujumbe kutoka ka Mungu kwa ajili yako

SOMO LA 20: WEZI WASIOKAMATWA NA VYOMBO VYA DOLA